Black and White Visual Studios

Black and White Visual Studios

Apr 14, 2012

Apr 8, 2012

Adili Hisabati Bin Kinega

Jina Kamili,Adili Mkwela a.k.a Hisabati au Magazijuto,Asili Mjini Mbeya,Alifahamika Sana Kwa Mara Ya Kwanza Na Nyimbo "Peke Yangu" na baadae kujikita zaidi katika Utengenezaji wa filamu na muziki,Mfano Filamu ya "Loleza" na "Sizya" iliyofanywa chini ya Chapakazi Film,lakini kwa sasa wako pamoja na Sugu,Mapacha,Mgosi Mkoloni,Suma G,Soggy Doggy Hunter,Rama Dee,Danny Msimamo,na wasanii wengi wakongwe katika harakati za kuukomboa muziki wa Tanzania,zikitambulika zaidi kama 'Antivirus' ikiwa tayari imetoka Vol 1,Vol 2 na sasa Antivirus Vol 3 ikokaribu kusikika
Kabla haijatengenezwa Pichani ni Rama Dee na Danny msimamo katikati


Kwa Mengi Zaidi Tembelea
Chapakazi Blog

Mwanamke Mlezi Event

Mwanamke Mlezi Logo By LittleGrafiX
Baadhi ya Wanachama wa "Mwanamke Mlezi" 
Mwanamke Mlezi ni kikundi cha wanawake kilichoanzishwa mnamo tarehe 18 Mwezi Machi mwaka Huu(2012) kikilenga kusaidia wazee.Kauli Mbiu Ya Mwanamke Mlezi ni "Wazee Hazina Ya Taifa" na kilianza kikiwa na wanawake 12 tu,Jana Tarehe 7 Machi,Walikutana na kutembelea kituo cha Wazee na Wasiojiweza cha Nunge Kilichopo Kigamboni