Jina Kamili,Adili Mkwela a.k.a Hisabati au Magazijuto,Asili Mjini Mbeya,Alifahamika Sana Kwa Mara Ya Kwanza Na Nyimbo "Peke Yangu" na baadae kujikita zaidi katika Utengenezaji wa filamu na muziki,Mfano Filamu ya "Loleza" na "Sizya" iliyofanywa chini ya Chapakazi Film,lakini kwa sasa wako pamoja na Sugu,Mapacha,Mgosi Mkoloni,Suma G,Soggy Doggy Hunter,Rama Dee,Danny Msimamo,na wasanii wengi wakongwe katika harakati za kuukomboa muziki wa Tanzania,zikitambulika zaidi kama 'Antivirus' ikiwa tayari imetoka Vol 1,Vol 2 na sasa Antivirus Vol 3 ikokaribu kusikika |
No comments:
Post a Comment